Dirisha la Udahili Lafunguliwa 2025-06-01
Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wapya na wanaoendelea kuwa dirisha la udahili kwa ajili ya masomo kwa muhula mpya sasa limefunguliwa rasmi. Udahili huu unahusu kozi zote zinazotolewa katika ngazi mbalimbali: Cheti, na Diploma Bofya hapa Kutuma Maombi https://musomautaliicollege.ac.tz/site/admission/instruction